Kocha wa majogoo hao Jurgen Klopp ameakikisha kuwa wachezaji wake wakiwa Melwood akili zao zimekaaa zikifikilia siku ya Jumamosi pambano lao linalokuja zidi ya Manchester United
Mgerumani huyo alionekana akiwa na wachezaji wake wakijiandaaa kwajili ya mchezo wa ligi kuu Uingereza ukiachilia mbali wachezaji wake tegemeo kama Philipe Countinho, Roberto Firmino
na Sadio Mane wakiwa wapo na timu zao.
No comments:
Post a Comment