GET TO KNOW DIAMOND PLATNUMZ - BZONE

GET TO KNOW DIAMOND PLATNUMZ

Share This
LIFESTYLE: Naseeb Abdul Juma (Alizaliwa 2/10/1989) maarafu anajulikana kama Diamond platnumz kwa jina la utuimbuizaji kwenye jukwaa (simply Diamond) ni msanii wa Bongo fleva Tanzania, nyimbo yake maarufu inayojulikana kama 'NUmber one' ambayo aliyo mshirikisha msanii wa Nigeria 'Davido'.

Diamond idadi kazaa za tuzo kwenye vituo vya channel o na Hipipo music. Alishawahi kutumbuiza kwenye Big brpther Afrika ya 7, ambayo ilikuwa mei 2012, Diamond anaushawishi mkubwa sana kwa mashabiki wake na inasemekana anapendwa sana kwa kipindi hiki cha sasa, na inahaminika kwamba ndiyo msanii mkubwa anaefanya mauzo makubwa sana hasa kwenye miiito ya simu kwenye makampuni ya simu ndani ya mwaka 2013 na ndio msanii anaeingiza ela kibao Afrika mashariki.

Diamond ni muislamu, ameidhinishwa na chama tawala (chama cha mapinduzi 'ccm') kuwa ndio msanii wake katika shughuli zao. Tarehe 3 mei 2014 aliweka rekodi mpya katika tuzo za mziki kwa kushinda tuzo saba za ndani ya mwaka mmoja ikijumuisha msanii bora wa kiume, mwandishi bora, mburudishaji bora wa kiume. 

No comments:

Post a Comment

Pages