SPORTS: United wanatarajiwa kuanza mazungumzo na Jose mourinho juu ya mkataba wake mpya kabla mwisho wa msimu.Mourinho alileta ofu kubwa katika ardhi ya old trafford maisha yake hapo yanaweza kuwa mafupi, Mreno huyo amebakiza miezi 18 kwenye makubaliano yake ya mkataba wa miaka 3 akiwa na chaguo la kusogea hadi 2020.
united bado wanamuitaji Mourinho abaki kwenye kikosi icho cha united, maongezi yanatarajiwa kuanza kazi mwezi ujao, united wanaridhishwa sana na mwanzo mzuri uku wakiwa nyuma ya maasimu wao Manchester city kwa alama 2 tu.
No comments:
Post a Comment