HII NDIO SABABU KWANINI NYIMBO ZA HIP HOP HAZIPATI VIEWS YOUTUBE, NIKKI WA PILI AFUNGUKA.. - BZONE

HII NDIO SABABU KWANINI NYIMBO ZA HIP HOP HAZIPATI VIEWS YOUTUBE, NIKKI WA PILI AFUNGUKA..

Share This
ENTERTAIMENT: Staa wa HipHip Nikki Wa Pili ameelezea kinachopelekea baadhi ya video za muziki wa HipHop Tanzania kuchelewa kupata VIEWS Wengi kwenye mtandao wa Youtube 
Photo published for Nikki wa Pili afunguka juu ya taarifa za Joh Makini kuja na bidhaa za kondomu.
Alifunguka hivi: 'Nikiangalia idadi ya wana Hip Hop kupata views zaidi ya milioni 1 ni wengi kwa mfano ukahesabu Joh makini, Darasa, Roma, Bilnas, Ay lakini sio kwamba nyimbo za Hip Hop hazipati views ata za kuimba pia ila kumbuka wanaopata views wengi ambao wanafanya nyimbo za kuimba majina yanajirudiaga ni wale wale utakuta ni Diamond, Ali kiba, Vanessa na Aslay. Hip hop hazipati views kwasababu mziki wa hip hop upigwe club lazima iwe club banger mziki wa kuimba unaingia popote kitu kingine ni kuwa na hipe mtandaoni vitu ambavyo wana hip hop na kuongeza ubunifu'

No comments:

Post a Comment

Pages