Inakumbukwa mchezo uliopita aliachwa, Mahrez amesherekeagoli lake la kwanza tangia mwezi wa tano. la asha..! Mahrez alileta furaha kubwa kwenye nyuso ya craig shakespeare
lakini mabadiliko ya mwisho ya shakespeare kumeleta matokeo makubwa kwao. Alikuwa ni Ben chilwell aliemimina majaro na slimani akatoa usaidizi wa kuweza kurudisha goli. kabla ya goli hilo Mahrez alipata nafasi ys kupiga shuti kali lililo gonga mtambaa wa panya tokea yadi sita. West bro ndio walikuwa wa kwanza kufungua milango kwa shuti la Nacer Chadli.
kwasasa Leceister city wapo chini ya nafasi tatu kwa wanaoshuka daraja.
No comments:
Post a Comment