Itakuja kuleta picha ya kila mmoja kuangalia kitachotokea, kila mmoja ataweza kuzania kwamba ndo yeye la asha kumbe sio yeye.
Lakini mmoja ya mashabiki wanao tokea Los Blancos alitokea kuwa mtu alievuta hisisa za watu kumfuatilia pale alipochukua hatua ya kwenda na kumsogelea staa wake mashuhuli Cristiano Ronaldo. Shabiki huyo wa Ronaldo alijikuta akiwemo ndani ya uwanja mnamo mwa dakika ya 21 ya Mchezo na kumuona Ronaldo mwenyewe.
Katika mchezo huo ambao ulikuwa unawakutanisha wenyeji Getafe dhidi ya wageni wao Real Madrid, Madrid waliweza kuongoza bao la kwanza mnamo mwa dakika ya 39 kupitia mshambuliaji wake Karim Benzema lakini waliweza kurudishwa nyuma baada ya Jorge Molina alivyofyatua shuti la kusawazisha kwa Getafe baada ya mapumziko, baadae Ronaldo, mwenyewe! Aliweza kuleta ushindi baada ya kupokea mpira toka kwa Isco ndani ya dakika ya 85 na kufanikisha kupunguza utofauti wa alama kati yao na Barcelona ni alama. Tano tu walizopishana.
No comments:
Post a Comment