LIGI KUU UINGEREZA TANO BORA, JE UNAZANI NANI ATACHUKUA UBINGWA HUKU TIMU ZA MANCHESTER ZIKIONGOZA LIGI HIYO? - BZONE

LIGI KUU UINGEREZA TANO BORA, JE UNAZANI NANI ATACHUKUA UBINGWA HUKU TIMU ZA MANCHESTER ZIKIONGOZA LIGI HIYO?

Share This
Harry Kane enjoyed a spectacular September to lift Tottenham up to third in the tableSPORTS: Ligi kuu uingereza imechukua mapumziko kuelekea kuelekea mechi za kimataifa hasa kufuzu kombe  la dunia. Timu zote 20 zimeweza kucheza miche saba wengine wakionekana kuzidi kupanda kileleni mwa ligi hiyo huku Bunley wakionesha ubaguzi ambao wapo nafasi ya sita kwenye msimamo mwa ligi hiyoo.
Timu mbili kutokea jiji la Manchester wanazidi kukabana koo baada ya timu zote mbili kutofungwa tangia msimu uanze huku Tottenham huku mabingwa Chelsea na Asernal. Liverpool wapo nafasi ya saba.The Premier League top seven as it stands ahead of the international fortnight 
Tunachoangalia ni watu sita ambao ndio tunaweza tukasema ndio wanaowania ubingwa na ambao wote wanakarbiana mbali na kupishana alama kazaa....

1.  MANCHESTER CITY
Alama 19, tofauti ya magoli +20Pep Guardiola congratulates Kevin De Bruyne on his winning goal at Chelsea on Saturday

Wamekuwa na matokeo ya haina gani?
La! Asha Pep Guadiola amekuwa na timu ya ushindi ambayo ameiweka kwenye kiwango bora sana kwenye ligi kuu ni ushindi lakini katika mechi zao walizo shinda na kupita katika michezo migumu wakiwa wanapaa na mabawa yenye rangi za kutoshaa.Leroy Sane has been in impressive form during the opening weeks of the season for City
Kwa haraka haraka tunaweza tukaona ushindi wa 5-0 na Liverpool na Jumamosi 1-0. Zidi ya Chelsea katika dimba la Stamford Bridge ushindi ambao ulio wapa nguvu ya kufukuzia ubingwa
Wakiwa na washambuliaji waliokuwa na moto zaidi na usajili wa maaana walio fanya msimu huu, City wanamagoli mazuri walio shinda, Matano ya Liverpool, sita na watford, matano zidi ya Crystalpalace.
Kwenye  ulinzi city wanaonekana wapo vizuri sana ukiangalia wameruhusu magoli mawili tuu.

2. MANCHESTER UNITED
Alama 19, Tofauti ya magoli +19Romelu Lukaku celebrates during Manchester United's 4-0 thrashing of Crystal Palace

Umekuwa ni mwanzo wa kufariji kwa Jose Mourinho na united yake,baada ya kutaabika msimu uliopita, kila mchezaji kwenye timu akionekana kukuwa  na usajili wa msimu huu Romelu Lukaku na Nemanja  Matic  wamekua na matokeo mazuri katika kampeni yao ya wiki chache tangia wajiunge na mashetani wekunduNemanja Matic has performed well for United since his summer transfer from Chelsea
Pauni milioni 75 Lukaku, ambaye ameshinda goli 10  katika mashindano tofauti, Man United waliwachapa  West ham nne, Swansea,Everton na Crystal palace waliweza kupunguza alama zao kwa kutoka sare ya 2-2 na stoke city.

3. TOTTENHAM HOTSPUR
Alama 14, Tofauti ya magoli +9Harry Kane enjoyed a spectacular September to lift Tottenham up to third in the table

Ni picha ya kufurahisha kutoka kwa spurs ambao wameanza vibaya kwa kupokea kichapo toka Chelsea na sare ya nyumbani zidi ya Burnley wiki chache zilizo pita
Mbali na hivyo septemba wapata ushindi wa nje zidi ya West Ham na Hudderfield ukizingatia na kiwango cha Harry Kane ambaye amewezesha kwa kiwango kikubwa kuipandisha timu hiyo iyo kwenye nafasi ya 3 ambapo wanajisikia wapo nyumbani, licha hivyo ikionesha inaonelana vilabu vya Manchester vimemtangulia mbele kwa alama 5.Mauricio Pochettino's side look capable of pushing the Manchester pace-setters at the top
Mauricio Pochetino wanaonekana bado wapo kwenye mwendo wa kupanda gia namba nyingine, ni timu ambayoo sio ya kuibeza ni timu ya kuwa na hamu ya kuiona pindi usikiapo wapo uwanjani.
Christian Eriksen has produced some glorious form in the opening part of the season
4. CHELSEA
Alama 13, Tofauti ya magoli +6Alvaro Morata has hit the ground running in the Premier League after moving from Real Madrid

Ushindi minne nje ya michezo saba ikionesha mwanzo wa kutofariji au kufariji, mabingwa Chelsea teyari washapoteza michezo miwilina kujikuta wakizidiwa alama sita na maadui zao
Baada ya msimu wa mafanikio kwa Antonio Conte na kwa sasa ukijumlishia na sakata lililo wakuta la Diego Costa, Chelsea walianza kwa kula kichapo wakiwa nyumbani zidi ya Burnley. Tokea hapo mambo yakaonekana kusawazishwa na huku wakiwa na mshambuliaji mpya Alvaro Morata ambaye anacheza kwa ufubdi wa hali ya juu Chelsea wamejikuta wakipata ushindi wa mfululizo.N'Golo Kante on the ball during Saturday's home loss to Manchester City
Lakini Jumamosi 1-0 walipoteza zidi ya Manchester city, Mabingwa watetezi kwenye akili zetu walipunguzwa mwendo na kikosi cha Guardiola. Hii inaonesha jinsi ligi msimuu ilivokuwa ngumu na Chelsea wanatakiwa kucheza zaidi ya hapo walipo.

5. ASERNALArsenal celebrate Nacho Monreal's opening goal in Sunday's win over Brighton
Mchezo wa pili na watatu wameonekana wakipoteza washika mitutu wa london 1-0 toka kwa stoke City 4-0 kutoka kwa Liverpool uhamuzi wa kumuongezea mkataba wa miaka miwili Arsene Wenger umeonekana sio wa kawaida kabisa toka kwa mashabiki. Usajili wa Sead Kolasinac and Alexandre Lacazette wameweza kuonesha kiwango kizuri.Gunners boss Arsene Wenger has seen his side recover well from early season setbacks 
Kutopata matokeo Stamford Bridge lakini ilikuwa ni karibu ya kufariji kurudi nafasi ya nne mwa msimamo wa ligi na klabu bingwa ulaya.

No comments:

Post a Comment

Pages