SPORTS: Mchezaji wa klabu ya Barcelona Gerald Pique aliuzunishwa na picha ilio oneshwa na polisi kufanya ukatili juu ya wananchi wake kuhusiana na watu walivotaka kupiga kura ya maoni Catalonia, meya wa jiji alisema watu 460 waliweza kujeruhiwa baada ya polisi kuwazuia watu wasiende kwenye vituo vya kupigia kula ya maoni huku wakidai kuwa kwa sheria ya hispania hairuhusiwi.
Pique nae akasema kucheza Nou camp nyuma ya milango bila mashabiki kilikuwa ni kitu kibaya kuwahi kumtokea kwenue uzoefu wake kwenye soka.
Akiwa kwenye majonzi mazito moyoni na usoni alisema " watu leo hawakuonesha haina yoyote ya fujo lakini polisi wakachukua maamuzi magumu kwa kuwapiga hawa awtu leo bila uchokozi wowote"
Barcelona waliomba mchezo uhailishwe lakini wakaambiwa hawatakiwi kupoteza alama zao na kama wangeairisha wange kutana na lungu la kuwapunguzia alama tatu za michezo ya nyuma, Barcelona waamua kuendelea na mchezo wao bila mashabiki.
"Ilikuwa ni ngumu sana kucheza bila mashabiki uwanjani na ilikuwa ni historia mbaya mbaya sana kwenye maisha yangu ya soka."
Home
Unlabelled
GERALD PIQUE AONESHA MAJONZI BAADA YA KULA YA MAONI JUU YA UHURU WA CATALONIAN NA KUKUBALI KUTO ICHEZEA TAIFA LA UHISPANIA
GERALD PIQUE AONESHA MAJONZI BAADA YA KULA YA MAONI JUU YA UHURU WA CATALONIAN NA KUKUBALI KUTO ICHEZEA TAIFA LA UHISPANIA
Share This
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Bwherever is a Tanzanian Radio Personality and Blogger who initiative Bbaseonpoint blog.
No comments:
Post a Comment