Philippe Coutinho aliweza kupiga mkwaju mzito ulio jaa kimyani ndani ya dakika ya 29 na kuwafanya majogoo waweze kutawala na kuongoza mchezo kwa dakika chache
baada ya dakika saba utawala wa majogoo uliweza kuisha baada ya Joselu kuweza kurudisha goli ilo kwa ufundi wa hali ya juu na mpira ulio mgonga kwenye miguu yake mpira ambao uliozuiwa na Joel Matip na kujaa wavuni. kupitia sare hiyoo inaifanya liverpool kuporomoka hadi nafasi ya saba kwenye ligi kuu ya uingereza huku wakiwa nyuma kwa alama saba nyuma ya vinara wa ligi iyoo.
Home
Unlabelled
BIZZARE JOSELU HAIZIMA LIVERPOOL KWA KUILAZIMISHA SARE YA 1-1
BIZZARE JOSELU HAIZIMA LIVERPOOL KWA KUILAZIMISHA SARE YA 1-1
Share This
Share This
About Bwherever
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Bwherever is a Tanzanian Radio Personality and Blogger who initiative Bbaseonpoint blog.
No comments:
Post a Comment