KOSA LILO WAPA USHINDI WAGENI, MILE SVILAR ADAKA MPIRA WA ADHABU NDANI YA MSTARI..! - BZONE

KOSA LILO WAPA USHINDI WAGENI, MILE SVILAR ADAKA MPIRA WA ADHABU NDANI YA MSTARI..!

Share This
SPORTS: Mmoja baada ya mwengine walienda kumkumbatia Mile Svilar ambae alionekana akitaka kulia mwishoni. Wachezaji wote walio valia nyeusi na nyekundu walionekana kumsogelea goli kipa mdogo wa Benifica namba 1 na kumpa maneno ya kumfariji.Manchester United took the lead against Benfica in bizarre fashion when a long-range free kick from Marcus Rashford went in

Goli kipa huyo anaechipukia kwenye historia ya klabu bingwa ulaya atakumbukwa kwa kuwazawadia Manchester United ushindi.Mile Svilar carried the set-piece from the left touchline over his own line, having looked uncomfortable all evening

Ilikuwa ni moja ya tukio lililomfanya  Jose Mourinho kwa upande wake kupiga hatua ya kwenda kwenye hatua ya mtoano wameweza kujiwekea asilimia 100 kwenye kundi lao na kuwavunja nyoyo Benifica kutoendelea, ushindi mwingine ambao utazikutanisha timu hizo kwenye dimba la old Trafford mwishoni mwa mwezi huu ndo utaamua.Before the game a minute's silence was held in memory of 31 people killed in wildfires recently in Spain and Portugal

United waliweza kutawala mchezo ndani ya lisali moja na nusu lakini hawakuwa sawa kuwamudu Benifica, Eduardo Silva aliweza fumua shuti lililowakosa united baada ya kupokea mpira toka kwa Alex Grimaldo.

Walionekana wanapoteza nafasi kwa wingi katika eneo la wageni wao licha ata united walivojaribu kuzuia, ilikuwa ni changamoto kubwa kwa mashabiki waliosafiri. Rashford alipokea mpira uliokuwa unabembea juu kwa juu tokea kwa Daley blind katika dakika ya 32 na Romelu Lukaku alikuwa akitafuta pasi ndani ya chumba lakini mpira uliokuwa ukitoka kwa Rashford kwenda kwa Lukaku uliweza kuzuiwa na Ruben Dias.Ruben Dias - who needed his head bandaged after a collision in the early minutes - stretches to make a defensive clearance

Nemanja Matic alipata nafasi nzuri ndani ya chumba na kulikuwa na mabeki watatu tuu lakini svilar alizuia.Soon after scoring, Rashford was forced off injured and is now a doubt for the weekend fixture against Huddersfield Town
kipindi cha pili mourinho alikuwa na maneno kazaa na wachezaji wake na alionekana kuonesha ukali kwa Rashford. mshambuliaji wa uingereza alianza kusumbua safu ya nyuma ya Benifica na kumjaribu Svilar na mikwaju mingi langoni kabla ya kuzalisha mpira wa adhabu ulio leta goli.

Rashford aliweza kutoka nje kwa kuumia goti ambapo ilkuwa ni kumuongezea Mourinho matatizo. alisema 'kuna hali nyingine labda nimewakosea watu, ilasiajwahi lia kwasababu ya majeruhi. Ibrahimovic, Pogba, Fellaini, Marcos Rojo. lakini makocha wengine huwa wanalia pale wanapo pata majeruhi. 

No comments:

Post a Comment

Pages