JESUS-KIJANA MWENYE MIUJIZA , AMECHEZA MWAKA MZIMA BILA KUPOTEZA. - BZONE

JESUS-KIJANA MWENYE MIUJIZA , AMECHEZA MWAKA MZIMA BILA KUPOTEZA.

Share This
Gabriel Jesus scored on Tuesday night as Manchester City beat Napoli at the Etihad StadiumSPORTS: Gabriel Jesus ameshasahau kabisaa hamu ya kupoteza mchezo inavokuwa baada ya Manchester city kupata ushindi wa 2-1 zidi ya Napoli Jumanne.

Mbrazili huyo ameweza kucheza michezo 26 ya klabu yake katika mashindano tofauti bila kufungwa,    ajawahi kupoteza akiwa na jezi ya City.
The Brazilian slotted home from six yards out to put the hosts 2-0 ahead in their clash

Kwenye kimataifa mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 20 ameendelea kufurahia baada ya kupata pia mafanikio kwenye timu yake ya taifa kwa kutopoteza tangia alipocheza septemba mwaka wa jana. Kwenye michezo 10 aliocheza kwenye taifa lake kuwania kucheza kombe la Dunia, Brazili imeweza kutoka sare michezo miwili na kushinda michezo nane.

Sababu ni moja tu kwenye mafanikio yake nikutokua na shaka kwenye kipaji chake hasa mbele ya goli. Jesus ameshinda mara 7 kwenye michezo yake ya kimataifa Brazili ni timu ambayo teyari ishakata tiketi ya kwenda Urusi

Vile vile ameshinda magoli 15 kwenye kikosi cha Pep Guardiola kwenye michezo 22. Mashabiki bado wanamatumaini ya kumuona akishinda magoli mengi zaidi mbali na kupoteza michezo.

No comments:

Post a Comment

Pages