DANGANYA TOTO AU NDO KWELI? MOHAMED SALAH NA ROBERTO FIRMINO..ACHANA NAO, ALEX-OXLADE CHAMBERLAIN AOKOTA GOLI LAKE LA KWANZA AKIWA LIVERPOOL - BZONE

DANGANYA TOTO AU NDO KWELI? MOHAMED SALAH NA ROBERTO FIRMINO..ACHANA NAO, ALEX-OXLADE CHAMBERLAIN AOKOTA GOLI LAKE LA KWANZA AKIWA LIVERPOOL

Share This
The Brazilian smiles broadly as he is joined by team-mate Dejan Lovren to celebrate in front of the Liverpool fansSPORTS: Ni ujasiri wakuvutia, wanajiita wanamasoko, wanamaamuzi magumu, wengine wanavosema, ni sehemu ambayo inaweza ikawa inaangaliwa sana mda wote.
Liverpool walitupia jezi zao za tatu zenye rangi ya uchungwa yenye ujasiri ndani yake na isinge waacha njia potovu.The winger celebrates with team-mate Philippe Coutinho after adding Liverpool's sixth on a busy night in Slovenia

Kwa bahati nzuri kwa klopp alitoa neno kwa kiwango chao ukiachilia mbali mtindo wa jezi walioingia nao uwanjani.

Klopp alitaka ushindi ili kuweza kuadhimisha uwepo wake ndani ya Liverpool, lakini akuweza kufanya hivo kwa kipindi cha mda kazaa hapo katikati  kutokana sababu zilizotajwa na watu kwa kile wachezaji wake hawawezi kuzalisha. Lakini ata kwa klabu Yenye ukoo mkubwa ulaya, hii ilikuwa ni rekodi iliovunjwa usiku wa jana.Roberto Firmino (background) watches on as his deft header beats goalkeeper Jasmin Handanovic for Liverpool's fifth goal

Waliwateka nyara Maribor kwa magoli saba yasiyokuwa na majibu, wakijikumbushia magoli yao ya nyuma walioshinda 5-0, majogoo washawahi kufanikiwa ulaya kwenye miaka kazaa nyuma ambacho ni kitu kilichompa ujasiri Klopp

Klopp alisema 'Historia ya klabu hii ni nzuri sana na sasa tumeandika historia mpya nyingine  ilikuwa ni ngumu sana kuifunga Maribor, kushinda 7-0 ni nadra sana.'
The duo congratulate each other's attacking intent as they add yet another goal to Liverpool's ruthless performance
Mafanikio ya ushindi tunaweza tukamshukuru Mohamed Salah kwa uchezaji wake mzuri, Roberto Firmino na  Philippe Coutinho ambao wameshirikiana kwenye magoli matano ya kwanza  kabla ya Alex Oxlade-Chamberlain na Trent Alexander-Arnold kumailizia magoli mawili ya kufanya uharibifu kwenye dimba la Maribor, washambuliaji wa watatu wa Liverpool waliwapoteza kabisa mabeki wa Maribor, kwa kasi waliokuwa nayo, stadi na kuelewana kwao walizalisha alama mnamo mwa dakika ya 20 na ushindi wa ugenini kwa klabu kwenye ligi ya mabingwa ulaya tangia 2009. Ushindi huo wa jana umewafanya Liverpool kuongoza kundi lao kwa alama 5 wakilingana na Spartak Moscow huku wakiwa wamebakiza michezo miwili.

No comments:

Post a Comment

Pages