GET TO KNOW..DAVIDO NDIO MSANII PEKEE ANAE ONGOZA KWA FOLLOWERS NCHINI NIGERIA KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM - BZONE

GET TO KNOW..DAVIDO NDIO MSANII PEKEE ANAE ONGOZA KWA FOLLOWERS NCHINI NIGERIA KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM

Share This
ENTERTAIMENT: Music Staa kutoka Nigeria David Adeleke Aka‘Davido’ amekuwa msanii mwenye Followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram Nchini Nigeria.
Davido mwenye Hits kama ‘If’ na  ‘Fall’ amekamilisha Followers Milioni 5 wiki hii.
Wasanii wengine maarufu wenye Followers wengi kwenye Instagram ni pamoja na Wizkid ‘Milioni 4’Boss wa Marvins Record Don Jazzy ‘Milioni 3’ ,Genevieve Nnaji  ana milioni 3.1 na Peter wa P Square Na Peter Okoye wana Followers Milioni 3.

No comments:

Post a Comment

Pages