WALIKUWA WASHAMBULIAJI HATARI KATIKA HISTORIA YA LIGI KUU UINGEREZA, BBASEONPOINT INAKUHESABIA WASHAMBULIAJI WALIOSHUKA KWA HARAKA BAADA YA KUSAJILIWA 5-1 - BZONE

WALIKUWA WASHAMBULIAJI HATARI KATIKA HISTORIA YA LIGI KUU UINGEREZA, BBASEONPOINT INAKUHESABIA WASHAMBULIAJI WALIOSHUKA KWA HARAKA BAADA YA KUSAJILIWA 5-1

Share This
The 100 worst strikers in Premier League history: 80-61SPORTS: Baada ya miaka 25 katika ligi kuu uingereza imekuwa ikionekana na washindaji wazuri lakini ilionesha uwafifu kwa baadhi ya wafungaji wake.
mbali na kuwa na wachezaji wazuri inabaki kuheshimiwa duniani.
Bbase inakuhesabia tokea 5-1 na majina yalio tetemesha dunia.

5.  Modibo MaigaModibo Maiga spent three years at West Ham but scored only four times in 34 games
kijana huyu wa taifa la Mali alifika West ham msimu wa 2012 na kuonesha mwanzo mzuri kwa kusinda mchezo wa nyumbani katika kombe la ligi zidi ya Southampton Oktoba, lakini akuweza kukaa mda mrefu kwasababu aliweza kukutana na ubaguzi wa rangi kutokea kwa mashabiki wa nyumbani ukiachilia mbali juhudi zake alizokuwa akionesha huku akiwa analindwa na Sam Allardyce .
Aliondoka Agosti 2015 na kuelekea Saudi Arabia katika timu ya Al-Nassr.

4. Luuk de JongLuuk de Jong was a prolific goalscorer in the Eredivisie but didn't score a single goal in England
Iicha ya kuwa mfungaji bora wa hali ya juu akiwa Twente ambae alipotea njia kwenda Borussia Monchengladbach, Newcastle walikuwa na matumaini ya kumdondosha mshanbuliJe huyo na walifanikiwa kumdondosha January 2014.
Alivodondoka Newcastle Luuk De Jong ilikuwa ni majanga kwake baada ya  kushindwa kuona nyavu kwenye michezo 12 chini ya Alan Pardrew
Alikuwa na ukosefu wa magoli tangia alipokuwa PSV akiwa Holland akiwa Na amecheza michezo 54.

3. Claudio PizarroClaudio Pizarro scored twice for Chelsea in 21 Premier League games in his one season
Baada ya kuisha kwa mkataba wake Bayern Munich ambapo alishinda magoli 100 na michezo  256 mchezaji huyu wa Peruvian alionekana akimsawishi kwa wingi Jose Mourinho.
Vitu vikaenda ndivyo sivyo baada ya kukosa penati kwenye kombe la  ngao ya hisani lakini akaja kushinda zidi ya Birmingham.
Mourinho alimvuta Nicolas Anelka katika dirisha la January, akaja kujiona  anakosa nafasi mara kwa mara.

2. Franco Di Santo
Franco Di Santo scored 13 times in three seasons Wigan after a fruitless spell at Chelsea
Baada ya kukosa namba tisa katika kikosi cha Chelsea lakini Alijikuta akishindwa kuendesha majukumu ya namba hiyo na kutoleta matikeo yoyote Stamford Bridge, Mkopo wake wa Blackburn msimu wa 2009-10 aliweza kuleta goli moja tuu kabla ya kwenda Wigan na kurudi Argentina baada ya mwaka mmoja.
Alishinda magoli 13 katika misimu mitatu katika uwanja wa DW na kufanya timu hiyo kushuka daraja 2013 aliachiwa kabla ya kujiunga na  Werder  Bremen.

1. Emmanuel Emenike
Emmanuel Emenike in action for West Ham against Leicester in April 2016
Emenike alitumia nusu msimu tuu akiwa West ham na akufanikwa kuleta matokea mazuri yoyote yale licha ya kukaa kwa mda mfupi
Magoli yake pekee yaliyoleta Neema katika kombe la FA kushinda zidi ya Blackburn Februari 2016.
Baada ya kushindwa kulenga goli katika michezo 13 alirudi Fenerbahce na hakuna mtu alie tarajia.

No comments:

Post a Comment

Pages