"NAKUMBUKA SIKU MOJA NILIWAHI KUMSIKIA MTOTO MMOJA AKISEMA" 'UMEONA ALICHOKIFANYA? HUYU JAMAA NI MNYAMA' ALISEMA RONALDO USHINDANI ALIOPITIA AKIWA MTOTO KUJA KUWA NYOTA MKUBWA - BZONE

"NAKUMBUKA SIKU MOJA NILIWAHI KUMSIKIA MTOTO MMOJA AKISEMA" 'UMEONA ALICHOKIFANYA? HUYU JAMAA NI MNYAMA' ALISEMA RONALDO USHINDANI ALIOPITIA AKIWA MTOTO KUJA KUWA NYOTA MKUBWA

Share This
Ronaldo also opened up about leaving home to join Sporting Lisbon at the age of just 11SPORTS: Cristiano Ronaldo amefunguka mda ambao alianza kufuatilia ndoto yake ya kuja kuwa mchezaji moira bora Duniani, ambapo mama yake akija kumuangalia akicheza.
Mshambuliaji uyo wa Real Madrid alifunguka juu ya utoto wake, ambapo ilimpelekea kujikuta anapenda sana mpira katika kisiwa cha Madeira  Ureno kabla ya kujiunga na  Sporting Lisbon academy. 
Ronaldo aliendelea kufunguka na kusema ilimchukua mda sana yeye na baba yake kumsawishi mama yake kujakumuangalia lakini alivokuja ilileta maana kubwa sana kwenye maisha yake.
Alisema " Baba yangu alikua karibu sana na mimi hasa pale nikiwa nacheza anakuepo uwanjani kuniangalia. Alipenda sana, lakini mama dada zangu walikuwa hawana hamu na mpira ata kidogo 'kila cha kula cha usiku baba yangu alikuwa akijaribu kuwasawishi waje kuniona nikicheza. Alikuwa ni kama wakala wangu wa kwanza. Nakumbuka tukirudi kutoka katika mechi mimi na yeye anasemaga "Cristiano ameshinda goli" watasema 'oh safi' lakini hawakuonekana kuwa na hamu!Ronaldo said his mum (pictured with him in 2009) coming to watch him was a major moment
Aliendelea 'kwahiyo siku moja-sito sahau hii picha, nilikuwa najifua nikaangalia kwa juu hivi nikamuona mama yangu na dada zangu wamekaa pamoja. Nilijisikia vizuri sana mda huo. Ilikuwa na maana kubwa sana kwangu mimi, niliona kitu tofauti sana ndani yangu."

Kwa kipimo kikubwa kilicho nitokea katika picha ya mchezaji mpira wa miaka miwili- Ronaldo vile vile alisema kitu ambacho kigumu sana katika kukua ilikua ni njia ya kutoka Madeira kwenda kwenye ardhi mama kabisa ya Ureno na kujiunga na Lisbon academy.


Alisema "Mpira umenipa kila kitu, lakini pia ulinipeleka mbali na nyumbani kabla siajawahi kuwa tayari, nilipokuwa na miaka 11, nilienda kwenye academy ya Sporting Lisbon na ilikuwa ni mda mgumu sana katika maisha yangu.

Ronaldo feels he left home too soon and could not send his son (pictured) away the same way
'Ni uchizi sasa kwangu mimi nikianza kufikilia kwa sasa, Mwanangu, Cristiano Jr, ni saba tu nilipokuwa naandika hii. Ninafikilia ninacho jisikia hivi sasa ni kumuandalia mkoba wake wa miaka minne na kumpeleka Paris au London. Nibkitu kisichowezekana na nina uhakika kwa kile walichonifanyia wazazi wangu.'


Mshindi wa Euro 2016 ambae kwa sasa ni maarufu kwa stadi zake za uwanjani lakini alisema baada ya kuanza kupata fedha za kutosha chumba chake alikigeuza kuwa sehemu ya mazoezi pale anapokuwa nyumbani hasa nyakati za usiku.
Ronaldo revealed he began to hone his muscular body when he was accused of being skinny

Ronaldo alisema 'Nakumbuka nilipokuwa nimkimsikia mtoto mmoja akimwambia mwenzake 'umeona kile alicho kifanya? Huyu jamaa ni mnyama' Nilianza kusikia mda wote, hata kwa makocha, ambapo mtu yeyeto anaweza akasema.' Ndio lakini ni aibu japo ni mdogo sana.'


'Ni kweli,nilifanya maamuzi nilipokuwa na miaka 11. Nilijua nina kipaji tosha lakini nikaamua kufanya kazi kwa bidiii kushinda mtu yeyeto.


'Nilianza kuamka usiku kutoka bwenini na kwenda nje kufanya mazoezi nikajikuta nakua mkubwa zaidi na mwenye haraka.'


No comments:

Post a Comment

Pages