VITU 10 USIVOVIJUA KUTOKA KWA LIVERPOOL KWENYE MAZOEZI YAO YA MWISHO KUELEKEA KLABU BINGWA ULAYA BAADA YA KUICHAPA LEICESTER CITY - BZONE

VITU 10 USIVOVIJUA KUTOKA KWA LIVERPOOL KWENYE MAZOEZI YAO YA MWISHO KUELEKEA KLABU BINGWA ULAYA BAADA YA KUICHAPA LEICESTER CITY

Share This
SPORTS: Ilikuwa ni wikiendi nzuri na ya kupendeza kwa Liverpool baada ya kupata ushindi zidi ya mbwa mwitu, Majogoo hawa waliweza kupata ushindi wa goli 3-2 mabao yalio wekwa kimyani na Mohamed Salah, Philippe Coutinho na Jordan Henderson huku Simon Mignolet akiibuka shujaa wa timu kwa kuokoa mkwaju mzito wa penati.Liverpool wanafanya safari ndefu sana ya kuelekea Moscow kuwaona mabingwa wa Urusi na huku wakiwa na hofu ya hali ya juu kupata matokeo baada ya kupata sare kwenye ufunguzi wa kundi E nyumbani na Sevilla, lakimi wanaonekana wakiwa na hamu baada ya kuonekana Melwood kwenye mazoezi ya mwisho.
Hivi ndio vitu 10 baada ya mazoezi yao leo

1. Alberto Moreno ameonekana akizidi kujiimarisha kwenye upande wake wa kushoto na kuwa fiti zaidi.2. Haonekani kwa mda sasa lakini Danny Ings na staili yake mpya ya nywele, Huku wachezaji wenzake wakimcheka.
3. Emre Can naye kaja na hii kwenye mtindo mpya wa nywele zake kwa kuzifanya kuwa zenye mkato mzuri.
4. Kuhusu swala la ulinzi limekuwa likiwasumbua sana hawa Majogoo ukiachilia mbali ushindi waliopata zidi ya Leceister city Jurgen klopp   ameonekana na kuhusu swala ulinzi na kuwaita wakabaji wak wote.5. Licha kufanya vizuri golini mchezo uliopita Jurgen klopp aweka chaguo jipya wiki hii akimuweka kijana Loris golini
6. Kama kawaida James Milner akizidi kukaza mazoezini na kuwaacha wachezaji wengine wakiwa na aibu.
7. ukiachilia mbali juhudi zake anazoonesha mazoezini James Milner hakufanikiwa kupata nafasi ya kucheza hivi karibuni tangia msimu huanze 
8. Simon Mignolet licha ya kuonekana mazoezini lakini atopata nafasi ya kucheza krabu bingwa
9. Sadio Mane karudi baada ya kuwa amefungiwa na FA kwenye mechi za ligi kuu Uingreza 
10. Countinho ametuonesha kwamba yeye yupo tayari kucheza kwa kutuonesha tabasamu zito na lenye bashasha.
LAKINI JE MAJOGOO WATATAWALA MCHEZO NA KUPATA MATOKEO HUKO MOSCOW?

No comments:

Post a Comment

Pages