SPORTS: Everton wapo tayari kumnyakua mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania Diego Costa kwa Pauni millioni 70 kabla uhamisho wake wa krudi Atletico Madrid kukamilika watengeneza pipi hao wa Everton wamepeleka ofa ya kuwezesha kuwasawishi wanadarajani.Lakini Diego costa anaonekana kuandaa mipango wiki hii ya yeye kuweza kurudi jijini Madrid Kocha wa Everton Ronald Koeman tayari kashamvuta mshambuliaji wayne Rooney kutokea kwa Mashetani wekundu wa jiji la Manchester lakini akashindwa kufanya uhamisho wa Olivier Giroud kutokea Asernal na vile vile wauza pipi hao wanamnyatia Raul Jimenez. kutoka Benifica

No comments:
Post a Comment