SPORTS: Mfungaji wa bao muhimu la Brighton Tomer Hemed apata kifungo cha mechi tatu kutoka FA baada ya kumkanyaga mchezaji wa Newcastle united DeAndre Yedlin. Lakin Tomer Hemed ambae ndio mshambuliaji mpambanaji na pekee wa Brighton, kwa changamoto hiyoo mchezaji huyo amekimbia adhabu ya FIFAYedlin alisema" Nilijihisi kama kuna kitu kwenye kwenye nyama zangu za mguu, laikini sikuona kitu labda ilikuwa bahati mbaya au laah..! lakini haijalishi aliefanya ilo tukio kwangu inatakiwa apewe adhabu kali." Yedlin akiwa anahojiwa na Sky sports.

Kwa upande mwengine Hemed ambae alietupia goli zidi ya Newcastle alimuomba msamaha Yedlin kwa tukio alilo fanya na kusema "ilikua ni tukio la bahati mbaya" aliongezea "Lakini kabla ya yote nilimwambia kama hakuweza kuruka mpira kwanini alinisukuma? unaweza ukachukua mpira lakini bila kunisukuma" Aliendelea
"Ni kweli ilikuwa ajali ambayo hakuna alietarajia, sikutaka kufanya hivo lakini kama nilimuumiza naomba anisamehe."
No comments:
Post a Comment