FABREGAS ATHIBITISHA KUTOKUWA NA FURAHA CHINI YA CONTE "FAMILIA YANGU PEKEE NDIO INAJUA NINI NINAPITIA" - BZONE

FABREGAS ATHIBITISHA KUTOKUWA NA FURAHA CHINI YA CONTE "FAMILIA YANGU PEKEE NDIO INAJUA NINI NINAPITIA"

Share This
SPORTS: Ukiachilia mbali na Chelsea kunyakua ubingwa wa ligi kuu uingereza msimu uliopita chini ya kocha Antonio Conte  lakini  Cesc Fabregas bado ajapata furaha baada ya kuona uwepo wake kweye kikosi  michezo 13 ya ligi na kutokea benchi mara 16.Photo published for Cesc Fabregas on Diego Costa "Shame on Him" Lahasha kiungo huyo wa Kihispania bado anaonekana kushawishika  na magoli 5 na asisti 12, Fabregas amekubali na kuthibitisha kutokuwa na Furaha, " sitoweza kukana wala kukataa, kwasababu ulikuwa ni msimu mgumu sana" Aliwaambia kituo cha Marca.

No comments:

Post a Comment

Pages