HAIKUWA KAZI RAHISI KUMPATA MDOGO WAKE DRAKE - BZONE

HAIKUWA KAZI RAHISI KUMPATA MDOGO WAKE DRAKE

Share This
ENTERTAIMENT: Dayna Nyange amezungumzia sababu zilizomfanya kumtumia model wa kiume kwenye video ya wimbo mpya, Chovya. Dayna ameiambia Dizzim Online kuwa alihitaji mwananume ambae ataenjoy zaidi kufanya naye kazi.
“Kufanya video na video king wa nje haina maana kwamba hapa nyumbani hamna wakaka hapana, ila nilitaka nifanye kitu na mtu ambaye ataleta maana ya nyimbo. Nyimbo inamsifia mtu, nyimbo inaonesha mtu uliyekuwa naye anajivunia kufanya na wewe so hicho ndio kikubwa nilichokuwa nakitaka,” amesema.
“Mwisho wa siku nikakutana na mdogo wake Drake tukafanya kazi na akaitendea haki.”

No comments:

Post a Comment

Pages