AFUTA AKAUNTI YAKE YA TWITTER KISA UBAGUZI - BZONE

AFUTA AKAUNTI YAKE YA TWITTER KISA UBAGUZI

Share This
MIX: Msanii wa muzuki Solange Knowles, ambaye ni mdogo wake na msanii Beyonce amefutilia mbali akaunti yake ya mtandao wa Twitter kwa kuonyesha kukerwa na mapigano yanayoendelea katika mji wa Charlottesville, uliopo Virginia- Marekani. Msanii huyo aliandika ujumbe katika mtandao huo kabla ya kufuta kuonyesha yupo upande wa mwadada Takiya Thompson, aliyekamatwa kwa kuhusika kuweka mkutano wa adhara unaoonyesha ukipinga ubaguzi wa rangi mji huo.

No comments:

Post a Comment

Pages