SUAREZ KUWA NJE KWA MDA WA MWEZI MMOJA - BZONE

SUAREZ KUWA NJE KWA MDA WA MWEZI MMOJA

Share This
SPORTS: Barcelona Imesema Luis Suarez atakuwa nje ya uwanja kwa wiki 4 au 5 baada ya kuumia goti kwenye mechi ya Spanish Super Cup dhidi ya Real Madrid.
Klabu ya Barcelona imesema mshambuliaji Luis Suarez atakuwa Out Of Action kwa mwezi mmoja akiuguza goti lake,
Kwenye game mbili za #SSC Barcelona ilitandikwa bao 5-1 na Real Madrid na kutangazwa kuwa mabingwa wa Spanish Super Cup.
Luis Suarez atakosa michezo ya Uruguay dhidi ya Argentina ,Aug. 31 na dhidi ya Paraguay mnamo Sept. 5 ikiwa ni michezo ya kufuzu kombe la dunia,

No comments:

Post a Comment

Pages