Amber ambaye kwa sasa ana mahusiano na rapper 21 Savage, alikuwa amechora tattoo hiyo ambayo inaonyesha sura ya mzazi mwenzake huyo na sasa amechora sura ya mwanaume mwengine ambaye bado hajafahamika.
Inadaiwa kuwa mrembo huyo aliifuta tattoo hiyo ya Wiz Ijumaa iliyopita mjini Miami Beach – Florida kwa mchoraji maarufu Sugar Factory American Brassiere.
No comments:
Post a Comment