Youngkiller katika Ngoma ‘Moto’ ya Nay, ubeti wa kwanza alichanwa kwa ufupi kuwa ‘Youngkiller Chali, safari ya Mwanza ainanukia…’ mstari ambao bila shaka ulimfikia Youngkiller hata ukamsukuma kujibu. Killer amedondosha jibu kwa ngoma ya diss nakuipa jina la ‘True Boya’ yenye ubeti mmoja bila kiitikio ambapo katika wimbo huo bado ameongeza kibwagizo cha maigizo ya sauti.

No comments:
Post a Comment