GARI LINALOUZWA ZAIDI YA TSH BILIONI 29 LA KIFAHARI LENYE THAMANI DUNIANI - BZONE

GARI LINALOUZWA ZAIDI YA TSH BILIONI 29 LA KIFAHARI LENYE THAMANI DUNIANI

Share This
MIX: Huenda ukawa umesikia story nyingi kuhusu magari yaliyoingia sokoni 2017 ila hii ikawa ilikupita. Ni kampuni ya kutengeneza magari ya kifahari dunia Rolls Royceimeingiza sokoni gari ghali zaidi dunia inayoitwa Rolls Royce Sweptail. gariiHii imekuwa kawaida kwa watu wenye fedha zao kufanya manunuzi ya magari, nyumba na vitu vingine kwa gharama kubwa na hii Rolls Royce Sweptail inauzwaDollar 13m za Marekani ambazo ni sawa na Tsh. 29b na unaambiwa utengenezaji wake umefanywa kwa miaka minne ikiwa ni agizo maalum la mteja kuanzia mwaka 2013.gariiiigar

No comments:

Post a Comment

Pages