
Drake, Nicki Minja, Celine Dion, Bruno Mars, Ed Sheeran, Florida Georgia Line, Imagine Dragons, John Legend, Lorde, Camila Cabello na wengine.
Rapper Drake ndio anaongoza kwa kuchaguliwa katika vipengele 22 vya kuwania tuzo hizo akiwa pamoja na The Chainsmokers, kundi ambalo pia,wanawania tuzo hizo katika vipengele 22. Wanaofuatia ni Twenty One Pilots vipengele 17, Rihanna (14), The Weeknd (13), na Beyoncé (8).
Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika Jumapili ya Mei 21 mwaka huu katika ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas.
No comments:
Post a Comment