Messi awezi kufanya kila kitu Ikiwa Argentina wenyewe Wanajikokota. - BZONE

Messi awezi kufanya kila kitu Ikiwa Argentina wenyewe Wanajikokota.

Share This
Kuna vitu vingi sana Messi anaweza akavifanya yeye mwenyewe bila ya msaada wowote ule. Messi alikuwa ni mtu ambae magoli yake matatu dhidi ya Ecuardo yalikuwa na umuhimu mkubwa sana wa safari yao ya kwenda Urusi kwenye kombe la Dunia.

Lionel Messi trudges off the field at the Kazan Arena after Argentina's 4-3 defeat by France

Na pia alikuwa ni mtu ambae alishinda goli zuri sana dhidi ya Nigeria  kwenye atua ya makundi ambayo iliwapa motisha wachezaji wenzake kupata ushindi ambao uliwapeleka kwenye atua ya 16 bora.

Lakini ndani ya Kazan ilikuwa ndio mwisho wao kama ilivotabiliwa, kuonekana wote tunajua atakapo fikia miaka 35 kombe la Dunia litakuwa linapigwa Qatar kiukweli akuweza kupata nafasi yoyote ile dhidi ya Ufaransa timu ambayo haimtegemei mchezaji mmoja aweze kufanya maajabu kama ilivo Argentina.

Messi was marked closely and found it difficult to get into positions where he could influence 

Na ilo limekuwa tatizo sana tena kubwa kwa kipindi kirefu pia na machaguo anayofanya kocha Jorge Sampaoli akiweka majukumu mengi kwa mchezaji mmoja akufanya ungwana kabisa lakini hicho ndio sampaoli alichokifanya.

The 31-year-old reacts after watching his scuffed right-foot effort fail to trouble Hugo Lloris

Iliwapa wepesi mkubwa sana Ufaransa kuujua mchezo utakuaje hasa kwenye eneo la kujilinda ilikuwa rahisi sana kwao huku Blaise Matuidi ndio alikuwa wa kwanza kabisa kumuweka Messi akilini bila tatizo lolote,

No comments:

Post a Comment

Pages