

Ukiachana na ngoma kama grass an't green,party na privacy album hiyo mpya ya Chris Brown itakuwa na ngoma 40. Hata hivyo hajatangaza tarehe atakayoachia Album hiyo.
Kwenye upande mwingine pia, Documentary ya masiha ya staa huyo itatoka mwezi ujao (June 11)
No comments:
Post a Comment