Fainali ya ASFC itazikutanisha Mbao FC na Simba Leo Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kuanzia Saa 10.00 jioni.

Na Kikumbo atasaidiwa na Mohammed Mkono wa Tanga na Omary Juma wa Dodoma wakati mwamuzi wa akiba ni Florence Zablon pia wa Dodoma wakati Kamishna wa mchezo huo atakuwa Peter Temu wa Arusha.

TFF inazitakia timu zote, Simba, Mbao, Waamuzi pamoja na Kamishna wao pamoja na wanafamilia wa mpira wa miguu, mchezo mzuri wenye fanaka kwa kila upande.
Bingwa wa Kombe la TFF, atajinyakulia kitita cha Sh. Milioni 50 kutoka kwa wadhamini, Azam TV na pia ataiwakilisha nchi katika Kombe la Shirikisho la Soka Afrika mwakani.
Bingwa wa Kombe la TFF, atajinyakulia kitita cha Sh. Milioni 50 kutoka kwa wadhamini, Azam TV na pia ataiwakilisha nchi katika Kombe la Shirikisho la Soka Afrika mwakani.
No comments:
Post a Comment