ADAM MCHOMVU_SHUGHULI OFFICIAL VIDEO - BZONE

ADAM MCHOMVU_SHUGHULI OFFICIAL VIDEO

Share This
MUSIC VIDEO: Ilikuwa kama zawadi kwa wanaMbeya siku ya jana ambao walikuwa wakiruka na kitu cha Jiwe la mwezi pande hizo, huku Billnass akisimama na ngoma yake ya Mazoea.

Ni official video ya ngoma mpya ya Baba la Baba AD+ Adam Mchomvu inayoitwa Shughuli

No comments:

Post a Comment

Pages