DARASA HATUMA SALAMU KRC GENK - BZONE

DARASA HATUMA SALAMU KRC GENK

Share This
SPORTS: Nyota kutoka Tanzania, Mbwana Samatta anazidi kutuonyesha jinsi gani anavyochambua kama karanga kwa kutupia mabao 2, katika mchezo wake ambao timu ya Genk ilimaliza mchezo kwa kuipa kichapo mabao 5-2 Gent.

Genk imeichapa Gent, zote za Ubelgiji kwa mabao 5-2 katika mechi ya raundi ya 16 Bora Europa Cup, kuwania kwenda robo fainali, Sasa Darassacmg ameamua kuandika ujumbe kwa Mbwana Samattakwamba THAT MY BOY 255 CHAMPION BOY……. @samagoal77 Tell your team @krcgenkofficial that I pray and support them.

Mbwana Samatta alianza kufunga ya dakika ya 41, likiwa bao la tatu, akaibuka tena kwa kutupia bao la pili, ambalo lilikuwa la tano kwa klabu ya Genk, alilitupia ndani ya dakika ya 72.

No comments:

Post a Comment

Pages