HIZI HAPA NGOMA KUTOKA KWENYE ALBUM MPYA YA RICK ROSS ‘RATHER YOU THAN ME’ - BZONE

HIZI HAPA NGOMA KUTOKA KWENYE ALBUM MPYA YA RICK ROSS ‘RATHER YOU THAN ME’

Share This
ENTERTAIMENT: Baada ya muda mchache tu kuachia cover album ya album yake mpya huku akitupa radha kwamba ujio wake huo umepewa shangwe na wasanii kama Young Thug, Fututre, Nas, Meek Mill, Wale na wengine kibao, The Boss ametudokezea listi ya ngoma ambazo zitapatikana.
Rather You Than Me, ni Album mpya ya Rick Ross ambayo imehusisha ngoma 14 ambazo zote hizo zkiwa zimebeba vichwa vibaya kwenye indusrty ya muziki, ndio maana Rick Ross akaona sio kesi akishare na mashabiki ujio wa ngoma ambazo tutazipata kwenye Come back yake ya Album ya “Rather You Than Me”.

No comments:

Post a Comment

Pages