SHILOLE -HATUTOI KIKI LISTEN/DOWNLOAD - BZONE

SHILOLE -HATUTOI KIKI LISTEN/DOWNLOAD

Share This
MUSIC: Mwanadada Shilole amedropisha ngoma yake mpya mapema leo kwenye kipindi cha leo tena cha Clouds FM. Ngoma ambayo imepewa jina la “Hatutoi Kiki”.
Producer ni Mesen Selekta na mwandishi wa ngoma hiyo ni Barnaba Classic. Ngoma flani hivi ya kuchezeka, nikaona sio kesi kuifikisha karibu yako unaweza kudownload au kuisikiliza kupitia link hapo chini. Enjoy                                                                  DOWNLOAD HAPA

No comments:

Post a Comment

Pages