CHIN BEES - NYONGA NYONGA (OFFICIAL MUSIC VIDEO) - BZONE

CHIN BEES - NYONGA NYONGA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Share This
MUSIC VIDEOTuache utani, huyu Chin Bees ni zaidi ya msanii, utaamini ninachokisema baada ya kusikia kilichoimbwa humu ndani kwenye hii ngoma yake mpya ambayo kaipa jina la Nyonga Nyonga.

Kutokana na jinsi ambavyo anaweza kubadilika kutoka kwenye trap music kwenye ngoma yake iliyopita na kuswitch hadi kwenye aina flani ya music kama Dancehall.

No comments:

Post a Comment

Pages