SPORTS: Badr Hari ambaye ni bingwa wa mchezo wa kickboxer mwenye umri wa miaka 32, amehukumiwa kwenda jela miaka miwili baada ya kupatikana na hatia ya shambulizi.
Hari ambaye ni raia wa Morocco aliwahi kuzushiwa kuwa kwenye mahusiano ya jinsia moja dhidi ya mwanasoka bora duniani Cristiano Ronaldo anayekipiga Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno.
Hukumu hiyo ya Hari imetolewa nchini Uholanzi, hivyo atalazimika kutoka kwao Morocco kwenda jijini Amsterdam kutumikia kifungo chake.
Hukumu inasema hakutakuwa na rufaa hadi atakapotumikia kifungo kwa miezi sita kwanza, baada ya hapo ndiyo mwanasheria wake anaweza kuifikisha rufaa sehemu husika.

Home
Unlabelled
Rafiki wa karibu wa Cristiano Ronaldo ahakumiwa jela miaka 2
Rafiki wa karibu wa Cristiano Ronaldo ahakumiwa jela miaka 2
Share This
Share This
About Bwherever
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Bwherever is a Tanzanian Radio Personality and Blogger who initiative Bbaseonpoint blog.
No comments:
Post a Comment