ASHLEY YOUNG BADO ANADEKA KWA MAMA - BZONE

ASHLEY YOUNG BADO ANADEKA KWA MAMA

Share This
SPORTS: Nyota wa Man united Ashley Young ameamua kutuonyesha kwamba jinsi gani Mama yake alivyokuwa na nafasi kubwa katika maisha yake kwamba Mama yake amekuwa akimwandalia chakula na kumtumia.
Kupitia kurasa yake ya Instagram, Ashley Young alifunguka kwa kusema kwamba Mama yake ndie huwa anamwaandalia sana chakula cha asili kutoka Jamaica.

No comments:

Post a Comment

Pages