Askofu Gwajima amjibu Makonda mbele ya waumini wake 'Mungu atamshusha'' - BZONE

Askofu Gwajima amjibu Makonda mbele ya waumini wake 'Mungu atamshusha''

Share This
Askofu Josephat Gwajima MIX: Alhamis hii amezijibu tuhuma za kujihusisha kwenye biashara ya madawa ya kulevya baada ya kutajwa kwenye orodha ya pili ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Alikuwa akizungumza mbele ya waumini na waandishi wa habari, kanisani kwake. 

No comments:

Post a Comment

Pages