ENTERTAIMENT: Adidas na Pharrells Williams kama wanakuja na kitu kingine kipya kwenye upande wa raba‘Human Race’, Sasa Good Newz ni kwamba Adidas brand ambassador Pusha T pamoja na John Wexler.
Kupitia kurasa ya Instagram ya Pusha T pamoja na John Wexler waliposti picha ambazo zinaonyesha muonekano mpya wa ujio wa Adidas na Pharrells.
No comments:
Post a Comment