EMINEM AMETOA HESHIMA KWA BIG SEAN - BZONE

EMINEM AMETOA HESHIMA KWA BIG SEAN

Share This
Eminem ameamua kunyoosha mikono na kumtaja Big Sean kama ni moja ya Mc wanaotishia ile mbaya.

Baada ya kushirikishwa kwenye ngoma mpya ya Big sean ya “No Favors” ambayo inapatikana katika Album mpya ya Big Sean ‘I decide’.
Kupitia Interview ambayo ilifanywa na Big BoyBig Sean aliamua kufunguka juu ya sifa ambazo amepewa na Eminem kupitia ngoma yao ya No favors

No comments:

Post a Comment

Pages