Mbwana Samatta aumia Genk ikipoteza mbele ya KV Oostende - BZONE

Mbwana Samatta aumia Genk ikipoteza mbele ya KV Oostende

Share This
SPORTS: Samatta aliumia katika daika ya 23 na kulazimika kutolewa nje ya uwanja na kumpisha Jose Naranjo ambaye alikosa p3enati katika mchezo huo.
Katika mchezo huu ambao Genk walikuwa katika uwanja wao wa nyumbani Luminus Arena walijikuta wakipoteza mchezo huo kwa kufungwa goli 1-0 dhidi ya KV Oostende na kutolewa katika kombe hilo huku goli hilo likifungwa dakika ya nane na Knowledge Musona ambaye ni raia wa nchini Zimbabwe.

1 comment:

Pages