
Tumeona timu ya Bayer Leverkusen ikimsajili mjamaica Leon Bailey aliyekuwa anacheza na mtanzania Mbwana Samatta katika timu ya KRC Genk ya Ubelgiji, lakini klabu yaIstanbul Basaksehir ya Uturuki imemsajili pia Emmanuel Adebayor siku ya mwisho ya dirisha kufungwa January 31.
Hawa ni baadhi ya wachezaji ambao usajili wao umekamilika dakika za mwisho kabla ya dirisha kufungwa.
No comments:
Post a Comment