GRAMMY KUWAKUMBUKA WASANII HAWA - BZONE

GRAMMY KUWAKUMBUKA WASANII HAWA

Share This
ENTERTAIMENT: Zikiwa zimebaki siku chache kuelekea kwenye tuzo za Grammy, wasanii kama Prince pamoja naGorge Michael kupewa mchango wao katika kazi ya muziki.
Uongozi wanapanga tuzo hizo za Grammy wamefunguka kwamba tuzo hizo zitawahusisha wasanii wawili ambao watatumbuiza kwa ajili ya kuwakumbuka maPop artist ambao walishafariki
.
Miongoni mwa wasanii ambao walishatajwa kutumbuiza kwenye tuzo hizo ni Adele, Alicia, Lady Gaga, John Jelegend, Bruno Mars, na wengine kibao.

No comments:

Post a Comment

Pages