Djbrill Cisse ametangaza maamuzi haya katika soka - BZONE

Djbrill Cisse ametangaza maamuzi haya katika soka

Share This
SPORTS: Mchezaji wa zamani wa vilabu vya Sunderland, QPR na Liverpool Djbrill Cisse ambaye saivi ana umri wa miaka 35, ametangaza rasmi kustaafu soka na sasa anaelekeza nguvu na akili katika kazi yake mpya ya uDJ na brand yake ya nguo inayoitwa “Mr Lenoir”.

Mfaransa huyo ambaye amekuwa katika soka kwa muda wa miaka 17, amewahi kuvitumikia vilabu 11.
Cisse wakati akiwa na klabu ya Liverpool aliwahi kuchukua kombe la Klabu Bingwa Ulaya (2004-2005).

No comments:

Post a Comment

Pages