FID Q KUMTAMBULISHA MSANII MPYA KWENYE LEBO YAKE YA CHEUSI DAWA - BZONE

FID Q KUMTAMBULISHA MSANII MPYA KWENYE LEBO YAKE YA CHEUSI DAWA

Share This
ENTERTAIMENT: Cheusi Dawa ni project ambayo tulianza kuisikia kitambo kidogo  ikiwa ni ya mtu mzima Fareed KubandaFid Q ikiambatana na TV Shows na mambo mengine kibao.
Kwa kipindi chote hicho hatukuwahi kusikia kwamba Cheusi Dawa ni lebo na issue za Fid Q kusaini wasanii na vitu kama hizo.
Ssa ni official Fid Q ametusanua kwamba ameanza rasmi kusaini wasanii katika lebo yake ya Cheusi Dawa na ijumaa hii kwenye kipindi cha XXL atamtambulisha msanii wake wa kwanza.
“Kama ambavyo waswahili wanasema, kimya kingi kina mshindo. Cheusi dawa wiki hii tuna mpango wa kutoa mshindo wa maana wiki hii. Unajua watu wamezoea kusikia tu Cheusi Dawa ila wamesahau kwamba Cheusi Dawa ni Record Label kama Wasafi, bad Boys na wengineo. Haiwezi kuwa lebo kama kila siku tu ina msanii mmoja, kwahiyo sasa hivi tumesaini msanii wakwanza na tuna mu-introduce wiki hii.”
Kiundani zaidi msikilize Fid Q kwa kuplay hii video hapa chini

No comments:

Post a Comment

Pages