CHRIS BROWN AMEAMUA KAMA MBWAI MBWAI TU!! - BZONE

CHRIS BROWN AMEAMUA KAMA MBWAI MBWAI TU!!

Share This
ENTERTAIMENT: Ebhana kama  iwee iwee tu au sio watoto wamjini wanakwambia Nasa kama vipi, Chris Brown ameamua kuwapokonya washikaji zake funguo za ndinga zake.
Baada ya moja ya washikaji wakaribu wa Chris Brown kupata ajali kwa gari ya Chris Brown nakutokomea katika tukio hilo bila polisi kufahamu, Chris Brown ameamua kufunguka kwamba licha ya jamaa huyo kutokomea, Breezy anajua fikra mtu aliyesababisha jambo hilo.
Sasa Bad newz ni kwamba Chris Brown ameamua kuwakacha washikaji zake kwa kuwanyima funguo za ndinga za magari yake

No comments:

Post a Comment

Pages