ENTERTAIMENT: Licha ya ukubwa wa tuzo za Grammy, Mastaa kibao wanategemea kutohudhuria tuzo hizo.
Kanye West, Justin Bieber na Drake wametajwa kutohudhuria tuzo hizo za Grammy kwa mwaka huu, licha ya kuwa nominated kwa tuzo nane kwenye Grammy na kushinda takribani tuzo 21Grammys, Kanye West ameamua kuikacha kuhudhuria tuzo hizo.
Kwa upande wa Drake nae amedumkia kwenye listi hiyo ya wasiohudhuria tuzo hizo kutokana na ujio wa Tour yake ya “Boy Meets World Tour.” na tukija kwa Justin Bieber yeye ameamua kufunguka kwamba tuzo za Grammy hazina maana.
No comments:
Post a Comment