ENTERTAIMENT: Ilizinduliwa LIVE pande za Kigoma kwenye XXL Tour mkoani hapo hii hapa mpya kutoka kwa mfanyakazi wa serikali Muheshimiwa D_One Baba Levo.
Humu ndani kamtupia mkali wa Kisingeli Sholo Mwamba, ngoma inaitwa Kigoma Noma. Production ni Wasafi Records kwa producer Laizer Classic.Nimekuwekea chini link hiyoo kusikilza na kudownload direct bonyeza link chini Enjoy.
No comments:
Post a Comment