Kenneth Omeruo ambae kazi yake ilikuwa kulinda alama alijua kabisa yupo kwenye matatizo kwa kiipindi kama hichi na matukio kama haya itakuwa vyema kama Messi atarudisha yale machachali yake maana alipiga ule mpira pembeni kidogo mwa Golikipa Francis Uzoho bila kubuguziwa na mtu yeyote yule ndo hapa tunaposemaga A gem of a goal from a gem of a player.
Hili ni kama zali tu kwenu Argentina kama msipojipanga huko mbele ata sijui nini kitaenda kutokea lakini kwa kile alichokifanya mchezaji wa Manchester United Marcos Rojo ambapo kimewapeleka Argentina kwenye hatua ya 16 bora ile haikuwa kwajili yake asee hii ilikuwa ni kwajili ya mchezaji mmoja tu kubakia hii alifanya ili kumuokoa Lionel Messi.
No comments:
Post a Comment