
Shati zuri litakufanya ujione unafanya kazi yako vizuri na mambo yakaenda sawa na kukufanya ukajinyakulia sifa lukuki toka kwa watu pemebeni.

Hivi unaijua ile filamu ya Peter Pan jinsi shati lake lilivokuwa likionekana angalia kola za shati lake jinsi zilivowekewa frame ambayo inamuonekano mzuri na utumika ata ukiamua kuvalia na koti. Madhati ya Con flower unaeeza kola yake kuiweka juu au chini na utakiw kuwa na wasi wasi wowote kama utakua unelodea.

Nina kushauri kama ujawahi kujaribu Conflower shirts huu ndo wakati wako sasa jaribu alafu huone jinsi purely beautiful ukitokeaa maeneo yako ya kazi.

Kwa Fashion ya kuvaa mashati ya Conflower lazima shati hili liwe na long sleeve ndo litakuwa poa zaidi vile vile unaweza ukavalia sketi pamoja na suruali ukaonekana simple lakini umependeza.

No comments:
Post a Comment