Sio Tena Kioo cha Steven Gerrard, Jordan Henderson ametudanganya..!! - BZONE

Sio Tena Kioo cha Steven Gerrard, Jordan Henderson ametudanganya..!!

Share This
Kulikuwa na Emly Hughes, Phil Thompson, Graeme Souness, Steven Gerrard  kati yao baaadhi walikuwa manahodha kwenye fainali za Klabu Bingwa Ulaya.

Makombe tisa ya Ulaya, Matano ya klabu bingwa Ulaya, 16 ya Ligi kuu, Manne ya FA, nane League Cups na matatu ya Super Cup.

Wote walitimiza Michezo 272 ya Kitaifa na walicheza mara 2,211 kwa Liverpool,

Image result for jordan henderson

Jordan Henderson ameshinda kombe la League Cup mwaka 2012 aliweza kutolewa mnamo mwa dakika ya 58 Liverpool ikishinda 1-0 dhidi ya Cardiff.

Image result for jordan henderson

Anakaribia kutimiza michezo 300 kwenye klabu na 38 kwa Taifa lake lakini ata hivyo kuna kitu tunahisi kama kudanganywa au kutumika kwa akili zetu juu ya mtu ambae atakae iongoza Liverpool kwenye dimba la Olimpiyskiy kesho Jumamosi.

Na hapa kuna udanganyifu, kwa mchezaji yeyote anatakiwa kuwa na fadhaa kabisa ya matarajio tofauti na kulifanya hadi kubadilisha maoni na kushinda zaidi ya vilivyo vipya kwake yeye wengi wanampenda ila hawatarajiii kitu chochote kutoka kwake Henderson, yeye atojali kabisa ilo hata haitaji mapendekezo yoyote kutoka kwenye mikutano na waandishi wa habari au mitandao ya kijamiii ikumbukwe Gareth Southgate ni moja ya mashabiki wake wakubwa sana..!!

Image result for jordan henderson

Anatakiwa ajue kwamba na yeye akiondoka kuna mtu nyuma yake jaribu kumuangalia James Milner japo kwasasa ameshachelewa kufanya chaguo la kwenye kikosi cha Uingereza.

Kikosi cha Klopp ni kikosi ambacho kimemezeshwa sumu kwenye siku hizi za karibuni na wakiwa na nguvu za kutosha japo wakiwa na hisia ndogo sana japo kuna watu wanasema kwamba kocha anamchagua Henderson kwa jinsi ubora wake binafsi ulivo.

Image result for jordan henderson

Kama uniamini jaribu kujiuliza kwanini Southgate alimchagua Kane kuwa nahodha wa Timu ya Taifa kuelekea kombe la Dunia hapa sasa ndipo utapata majibu wapi alipofikia Henderson japo kulikuwa na mshtuko mkubwa kwa Wengi ila amekuwa akiangaliwa kwa makini.

Henderson was an integral part of Liverpool's semi-final victory over Roma earlier this month

Kwahiyoo inabidi tujiulize nini kilichombadilisha Kiungo huyu uzuri wa kipaji chake na mipaka yake vimebadilika kabisa pamoja na Liverpool kupata ushindi mkubwa dhidi ya Manchester City ilileta uthibitisho wa kiungo huyu alikuwepo lakini atukuona ule mpira wa Kidunia kutoka Moyoni.

Itakua bado inaleta minong'ono mingi sana kutoka kwa watu kwenye vinywa vyao juu ya kiungo huyu ndani ya michezo nakuona kama Ana Thamani ata kama fact ipo kwenye fainali zake nne akiwa na Liverpool alitolewa na akuonesha yeye ni nani na ana umuhimu gani.

Related image

Japo Klopp alimfanya kuwa Nahodha na alifanikiwa mwaka 2015 ikiwa yeye ni kiongozi wa wanaume kazini mimi nitategesha masikio yangu na macho yangu pamoja na akili yangu kumtazama  kwa makini hapo keshoo ajue ilo....

Image result for liverpool

Mbali na hayo je watashinda??? Nadhani watashinda. Henderson akiwa ni moja ya wachezaji ambao wanaunda kikosi cha Liverpool msimu huu, kama ataweza kubadilisha vile vianvyoongelewa itakuwa poa sana kila kitu kinawezekana.

No comments:

Post a Comment

Pages